TIRA crest TIRA logo

Tanzania Insurance Regulatory Authority

Insurance Anti-Fraud System

Version 1.0 ยท SRS Draft

Insurance Anti-Fraud Database

Madhumuni ya Insurance Anti-Fraud System ni kuhifadhi taarifa za matukio ya udanganyifu wa bima, uchunguzi, kesi zilizothibitishwa, pamoja na taarifa za watu binafsi na taasisi zilizoorodheshwa kwenye blacklist.

The system supports TIRA in managing fraud reports, investigations, confirmed cases, analytical reports and blacklisted entities in a secure, centralized database.

  • Centralized fraud data across the insurance sector
  • End-to-end workflow: report โ†’ investigation โ†’ fraud case
  • Blacklisted individuals and institutions lookup
  • Actionable reports and analytics for decision making
Insurance Anti-Fraud System

Modules

Key System Modules

Modules have been structured from the SRS to cover the full fraud lifecycle, from initial report to blacklist reference checks.

Shield icon

Insurance Fraud Reported Module

Kuhifadhi taarifa za awali za matukio ya udanganyifu wa bima yanayoripotiwa na watoa huduma, kampuni za bima au wadau wengine.

Shield icon

Investigation Module

Kusimamia mchakato mzima wa uchunguzi, ushahidi, hatua zinazochukuliwa na maamuzi ya awali.

Shield icon

Fraud Cases Module

Kuhifadhi na kufuatilia kesi zote ambazo uchunguzi umethibitisha kuwa ni udanganyifu, pamoja na hatua za kinidhamu au kisheria.

Shield icon

Reports Module

Kutengeneza ripoti za uchambuzi na takwimu kwa ajili ya maamuzi ya udhibiti na tathmini ya hatari katika sekta ya bima.

Shield icon

Blacklisted Individuals & Institutions Module

Kuhifadhi taarifa za watu binafsi na taasisi zilizo kwenye blacklist kutokana na vitendo vya udanganyifu, kwa ajili ya marejeo na maamuzi ya udhibiti.

System Overview

The Insurance Anti-Fraud System is a secure, centralized platform for TIRA and stakeholders to capture, track, and analyze insurance fraud information. It supports the lifecycle from initial report through investigation, fraud case confirmation, reporting, and blacklist management while maintaining reliable audit trails.

Assurance Themes

  • Data security & access control
  • Audit trail and accountability
  • Performance and availability
  • Compliance with TIRA procedures and regulatory standards